OJADACT imeshiriki Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Jijini Dodoma

OJADACT leo Oktoba 4, 2022 imeshiriki Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Jijini Dodoma na Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa JK Dodoma  

OJADACT YAADHIMISHA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA NA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU

Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya na usafirishaji haramu, yaliyofanyika katika ukumbi wa…

Matukio katika picha- OJADACT ikiadhimisha siku ya Uwazi wa takwimu

Chama cha Waandishi wa Habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeadhimisho ya Siku ya Uwazi wa takwimu yaliyo andaliwa na chama hicho kwakushirikiana na Shirika la Open Knowledge…

OJADACT yashiriki maadhimisho ya miaka 10 THRDC

Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko aliyesimama upande wa kulia pembeni ya Rais kwenye picha ya pamoja kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania

Ushahidi kesi ya Zumaridi waanza kusikilizwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza imeanza kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’. Katika kesi hiyo namba ya 11 ya mwaka 2022, Zumaridi na wafuasi…

Kalli: Waandishi andikeni habari zenye tija

Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza Salum Kalli ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kuandika habari zenye tija ili kuleta maendeleo ya taifa. Kalli ametoa wito huo wakati akifungua maadhimisho siku ya Uhuru…
Picha za maadhimisho ya siku ya uhuru wa Habari Dunia Mei 03, 2022.

Picha za maadhimisho ya siku ya uhuru wa Habari Dunia Mei 03, 2022.

Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko aliyesimama upande wa kushoto wa Rais Samia Suluhu kwenye picha ya pamoja ya maadhimisho ya uhuru wa habari Duniani 2022 yakiyofanyika kwa Aftika Jijini Arusha MATUKIO KATIKA PICHA
Wanahabari wapewa mafunzo kuripoti uhalifu wa mazingira

Wanahabari wapewa mafunzo kuripoti uhalifu wa mazingira

CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupinga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la kimeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mwanza jinsi ya kuripoti…
OJADACT, ERC wataka waandishi wa habari kufanya kazi na wenzao wa nchi jirani

OJADACT, ERC wataka waandishi wa habari kufanya kazi na wenzao wa nchi jirani

Na Mwandishi wetu Mwanza Tanzania Chama cha waandishi wa habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la  Environmental Reporting Collective (ERC) Kwa pamoja…