Category Archives for Habari Picha

OJADACT imeshiriki Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Jijini Dodoma

OJADACT leo Oktoba 4, 2022 imeshiriki Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Jijini Dodoma na Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa JK Dodoma  

OJADACT YAADHIMISHA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA NA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU

Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya dawa za kulevya na usafirishaji haramu, yaliyofanyika katika ukumbi wa…

Matukio katika picha- OJADACT ikiadhimisha siku ya Uwazi wa takwimu

Chama cha Waandishi wa Habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeadhimisho ya Siku ya Uwazi wa takwimu yaliyo andaliwa na chama hicho kwakushirikiana na Shirika la Open Knowledge…

OJADACT yashiriki maadhimisho ya miaka 10 THRDC

Mwenyekiti wa OJADACT Bwana Edwin Soko aliyesimama upande wa kulia pembeni ya Rais kwenye picha ya pamoja kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania