+255754551306 info@ojadact.org

Blog Details

Give a helping hand for poor people

Matukio katika picha- OJADACT ikiadhimisha siku ya Uwazi wa takwimu

Chama cha Waandishi wa Habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) kimeadhimisho ya Siku ya Uwazi wa takwimu yaliyo andaliwa na chama hicho kwakushirikiana na Shirika la Open Knowledge Foundation.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) Edwin Soko, akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye maadhimisho ya Siku ya Uwazi wa takwimu yaliyo andaliwa na chama hicho kwakushirikiana na Shirika la Open Knowledge Foundation.

 

Mratibu wa OJADACT, Lucyphine Kilanga akiwasilisha mada katika maadhimisho ya siku ya uwazi wa takwimu yaliyofanyika Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na uhalifu Tanzania (OJADACT) Edwin Soko wa nane kutoka kushoto akiwa na washiriki wa maadhimisho ya siku ya uwazi wa takwimu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

en_USEnglish